MKUTANO MKUU WA 4, 2025|SIKU YA KWANZA
Mkutano Mkuu Wa Nne Kanisa La Shekinah Tanzania. Likikutanisha Wachungaji Wote Wa Makanisa Ya Shekinah,Wenyeviti Wa Idara Pamoja Na Makatibu Wote Tarehe 01-07|09|2025
Siku Ya Kwanza. Ikiwa Ni Utambulisho Wa Wachungaji,Wenyeviti,Makatibu Wote Wa Idara Pamoja Na Wageni Waalikwa.












